Jaji Mstaafu Buxton Chipeta
akizungumza na Mahakimu, Wenyeviti wa Mabaraza ya Wilaya ya Ardhi na
Nyumba pamoja na Madalali wakati wa warsha ya Mapitio ya Ripoti ya Mfumo
wa Haki za Madai, katikati ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania Agnes Mgeyekwa na kulia ni Mratibu wa mradi
wa BEST Athasia Soka.
Munir Shemweta
Ofisa Habari
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Ofisa Habari
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
Ofisa Sheria Mkuu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Anjela Shila (Katikati) akisisitiza jambo wakati wa majadiliano
Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya
Kurekebisha Sheria (Mapitio) Angela Bahati (katikati) akiwa katika
majadiliano wakati wa kupitia ripoti ya mfumo wa Haki za Madai.
Washiriki wa warsha ya kupitia ripoti ya Mfumo wa Haki za Madai wakimsikiliza Jaji mstaafu Chipeta
No comments:
Post a Comment