President Jakaya Kikwete, Prime Minister Meles Zenawi of Ethiopia,
Ghana's President John Atta Millls and President Yayi Boni of Benin,
chairman of the African Union, on Saturday went down into history books
Saturday May 19, 2012 as the first African leaders to attend a G-8
summit at Camp David in Maryland, USA.
The event, whose host US President Barak Obama hailed as remarkable, saw the world leaders devoting the working lunch to food security.
Held in the Laurel Lodge, the session was a follow-up to the President Obama's Friday announcement of a ten-year, $3 billion partnership plan for public-private agricultural investments in Africa.
In addition to the G8 leaders and the four African leaders, there were also six executives from some of the 45 US and African corporations that have partnered for the New Alliance for Food and Nutrition.
President Obama said he believes it is the first time private sector representatives - who included PepsiCo chief Indra Nooyi - have attended a session at any G8 Summit.
Seated at a long rectangular table between Ghana's President John Atta Millls and President Yayi Boni of Benin, Chairman of the African Union, President Obama, in his shirtsleeves, said the group will be "looking for a range of innovative ideas”.
President Jakaya Kikwete of Tanzania and Prime Minister Meles Zenawi of Ethiopia sat across them. Other leaders present were Stephen Harper, the Prime Ministerof Canada, President François Hollande of France and Germany's Chancellor Angela Merkel.
Others were Italy's Prime minister Mario Monti, the Prime Minister of Japan Yoshihiko Noda, Prime Minister of Russia Dmitry Medvedev and the Prime Minister United Kingdom David Cameron
"What makes this remarkable is this is probably the first time at a G8 Summit where in addition to having the leaders involved, we also have leaders of NGOs and business leaders involved," President Obama said.
"My goal is to have a very open conversation...and my hope is that coming out of this meeting, we are then going to be able to then each of us have assignments that we have to execute before the next G8 Summit."
The New Alliance builds on the L'Aquila Food Security Initiative, a $22.billion effort created in 2009 by G8 leaders, led by President Obama.
According to the the White House, attendees from the US private sector included Nooyi, Chair and CEO of PepsiCo and Mr. Michael Mack, CEO of Syngenta International AG.
From Africa: Tidjane Thiam, Cote d'Ivoire group CEO of Prudential; Dr. Donald Kaberuka, President of African Development Bank Group; Dr. Eleni Gabre-Madhin, Ethiopia, CEO and founder of Ethiopia and Commodity Exchange.
KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YATOA MILIONI 150 KUDHAMINI TUZO ZA MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA (TASWA)
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Kampuni ya bia ya Serengeti
Teddy Maounda akizungumza na waandishi wa habari kwenye klabu ya City
Sports Lounge asubuhi hii wakati alipotangaza udhamini wa kampuni hiyo
kwa tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka inayoandaliwa na chama cha
waandishi wa habari za michezo TASWA Kulia ni Katibu Mkuu wa TASWA Amir
Mhando na katikati ni Mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto
Mwenyekiti
wa TASWA Juma Pinto Kulia akitoa shukurani zake kwa kampuni ya bia ya
Serengeti kwa kudhamni tuzo hizo mwaka huu, kutoka kulia ni Makamu
mwenyekiti wa TASWA Maulid Kitenge, Nandi Mwiyombela Meneja miradi
Endelevu SBL na Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano SBL.
Kampuni ya bia ya
Serengeti imetangaza rasmi kudhamini kwa kitita cha shs 150M chama cha
waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) katika tukio la kutoa
tuzo kwa mwanamichezo bora wa mwaka.Hafla hiyo inatarajiwa kufanyika
mapema mwezi ujao.
Tukio hilo la kihistoria litafanyika katika ukumbi maarufu hapa jijini Dar es Salaam Diamond Jubilee tarehe 14/06/2012 ambapo zaidi ya wageni 500 wanatarajiwa kufurika kushuhudia tukio hilo.
Akihutubia mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Mkurugenzi wa mahusiano na mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti bi. Teddy Mapunda, amesema maamuzi ya kudhamini tukio hilo kwa mara nyingine ni kuendelea kusaidia kuinua tasnia ya michezo hapa nchini. “Kufanya hivi ni sehemu mojawapo ya kuwatambua wanamichezo, lakini pia kupitia udhamini huu, tungependa kuwasaidia waandishi wa michezo kujaribu kuangalia ndani zaidi na kuleta mwanga na uelewa wa haraka kwa jamii juu ya michezo mbalimbali iliyopo hasa hapa kwetu Tanzania”alisema Mapunda.
Udhamini huu utatumika katika maeneo mbalimbali kufanikisha sherehe hiyo kama vile chakula cha jioni, burudani,tuzo, vyeti, zawadi pamoja na mahitaji na matumizi mengine ili zoezi hili liwe nzuri na la kukumbukwa nchini”, aliongeza Bi. Mapunda.
Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa kampuni ya bia ya Serengeti inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa tuzohizi kwa mwaka wa tatu sasa. “sisi kamaSBL kwakweli tunajivunia kuwa wadau wa tukio hili kwa mara nyingine, lakini pia tunajivunia kuwa na waandishi bora wahabari za michezo ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kuinua na kuendeleza tasnia ya michezo hapa nchini kupitia taarifa sahihi zenye kuelimisha jamii juu ya swala zima la michezo” .
Naye Mwenyekiti wa chama hicho TASWA Bw.Juma Pinto, ametoa shukrani zake kwa niaba ya TASWA kwa kampuni ya bia ya Serengeti na kusema kuwa wana faraja kubwa kwa kuona kampuni kama SBL inajitolea na kuwasaidia mwaka hadi mwaka kwa miaka mitatu sasa. Alisema kwamba wanatambua umuhimu wa kampuni hiyo(SBL) katika kusaidia kuinua michezo hapa nchini, “sisi hatuwezi kusema kitu,zaidi ya kushukuru sana kwa SBL kwakweli ni dhahiri kabisa kuwa SBL inaendelea kubadilisha taswira ya michezo hapa nchini kwa mengi na haswa kwa kudhamini tukio hili la kutoa tuzo kwa waandishi bora wa michezo.Wamebadilisha tukio hili kuwa la kimataifa”, alisema Pinto.

No comments:
Post a Comment