UPIGAJI KURA WA RASIMU INAYOPENDEKEZWA WAENDELEA LEO BUNGENI MJINI DODOMA.
Mwenyekiti
 wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa 
ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 
2014 mjini Dodoma. 
Makamu
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan Suluhu akipiga 
kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo
 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Makamu
 wa Pili wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. 
Seif Ali Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni 
hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Mwenyekiti
 wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge 
akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni 
hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Waziri
 wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba Tano ya Bunge 
Maalum la Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura Rasimu ya Katiba 
inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Waziri
 wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge 
Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura Rasimu ya Katiba
 inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Naibu
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa 
Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura Rasimu ya Katiba
 inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Mjumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia kura Rasimu ya 
Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Waziri
 wa TAMISEMI ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hawa 
Ghasia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 
30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
Mjumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu ya 
Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma. 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment