Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani 
kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali 
mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine pichani ni Katibu wa NEC 
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Pangani 
Ndugu Hamis Mnegero.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Pangani baada ya kuvuka na MV.Pangani 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi waliojitokeza kumuaga wakati akielekea Tanga mjni.
 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa 
kata ya Kigombe ,Pangani ambapo  aliwaeleza lazima kuwa makini katika 
kuchagua viongozi wa kijiji kwani wengi wamekuwa wakiuza ardhi ya 
wananchi kiholela na kusababisha matatizo makubwa ya ardhi.
 Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Tanga 
mjini Mh.Omari Nundu wakati wa mapokezi katika kata ya Marungu wilaya ya
 Tanga mjini.
 Wananchi wa kata ya Marungu wakifurahia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM kwenye kata yao
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa kata ya Marungu
 Katibu
 Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi za wanachama wa CUF 
na Chadema wa kata ya Marungu walioamua kurudi CCM,zaidi ya wanachama 60
 wa kata ya Marungu kutoka upinzani wamejiunga CCM .
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi za wanachama
wa CUF na Chadema wa kata ya Marungu walioamua kurudi CCM,zaidi ya
wanachama 60
wa CUF na Chadema wa kata ya Marungu walioamua kurudi CCM,zaidi ya
wanachama 60
 Bibi
 Saumu Ngoma mama mzazi wa Diwani wa kata ya Marungu Ndugu Bakari 
Mambeya akirudisha kadi ya CUF kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman 
Kinana  na kujiunga na  CCM.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuezeka ofisi ya CCM kata ya Marungu.
 Wazee
 wa kijiji cha Machui kata ya Tangasisi wakiwa kwenye mkutano wa Katibu 
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alishiriki kutoa kadi za 
mfuko wa afya ya jamii na kushiriki ujenzi wa nyumba ya mganga.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Machui kata ya Tangasisi wilaya ya Tangamjini.
 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa nyumba
 ya mganga wa kijiji cha Machui katika kata ya Tangasisi
 Katibu
 Mkuu wa CCM akisalimiana na Wazee waasisi wa CCM Tanga mjini kwenye 
mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga mjini.
Mzee
 Athumani Makalo (wa kwanza kulia) akiwa na wazee waasisi nadi ya ukumbi
 wa mkutano ambapo Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Tanga mjini.
















No comments:
Post a Comment