Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi 
Meck Sadik  baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea 
Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mnadhimu Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la 
Wananchi  Tanzania (JWTZ),  Luteni Jenerali Samuel Ndomba mara baada ya 
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini 
Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria 
Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.
 
 Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na IGP Ernest Mangu, Mnadhimu Mkuu  wa 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi  Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel 
Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik  baada ya 
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini 
Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria 
Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akilakiwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama   baada ya kuwasili 
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es 
salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 
69 wa Umoja wa Mataifa. 
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment