Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la 
Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu 
ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano 
baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba.
 Mkutano huo umefanyika leo New Africa Hotel. (Picha kwa Hisani ya 
Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la 
Taifa)
 Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
 Watendaji wa Shirika la Nyumba la
 Taifa wakifuatilia mkutano huo maalumu ulioandaliwa na Shirika la 
Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki wakiwasili kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la 
Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
 Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la 
Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu 
ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano 
baina ya NHC na Benki iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba.
Timu ya maofisa mauzo wa Shirika 
la Nyumba la Taifa kutoka kulia ni Narindwa Norbert, Olivia,, Bhoke 
Wambura na Salma Mwinyi, wakijadili jambo kabla ya mkutano huo kuanza.
Maafisa Mawasiliano na wateja wa 
mabenki tofauti waliofika kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika
 la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki 
iliyoingia nazo mkataba wa kutoa mikopo ya nyumba, wakifuatilia jambo.
No comments:
Post a Comment