Vitabu viwili vya Eric Shigongo alivyozindua nchini Marekani juzi.
Eric Shigongo akihojiwa na Shaka Ssali (kulia) katika kipindi cha Straight Talk Africa kabla ya uzinduzi huo. 
MKURUGENZI
 Mtendaji wa Global Publishers, Eric James Shigongo amezindua vitabu 
vyake viwili vipya vya namna ya kuondokana umaskini vyenye majina ya 10 
Laws-How to Move From Poverty to Prosperity na 26 Secrets- How to Defeat
 From Enemies and Make Millions of Dollars.
10 Laws-How to Move From Poverty to Prosperity.
Shigongo
 alizindua vitabu hivyo vya ujasiriamali alipokuwa akihojiwa na Kituo 
cha Runinga cha Voice of America (Voa) kwenye Kipindi cha Straight Talk 
of Africa nchini Marekani juzi.
26 Secrets- How to Defeat From Enemies and Make Millions of Dollars.
Kwa mujibu wa Shigongo vitabu hivyo vitakuwa vikiuzwa duniani kote ili kuikomboa jamii kwenye wimbi la umaskini.
No comments:
Post a Comment