Meneja wa Mkoa NHC, Nistas 
Mvungi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Issa Machibya mashine 
32 za kufyatulia matofali ya kufungamana.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Ujiji akishukuru Shirika kwa kuwapatia vijana mashine ya hydraform.
Wafanyakazi wa NHC na kikundi 
cha Vijana Kwanza Group  na wageni waalikwa wakisubiria Mgeni Rasmi Mkuu
 wa Mkoa Mhe Kanali Issa Machibya.
 Meneja wa Shirika la Nyumba 
Kigoma Ndg Nistas Mvungi akijadiliana na Mkuu wa Mkoa Mhe Issa Machibya 
jambo kuhusiana na Mashine ya matofali ya kufungamana kuhusu ufanisi 
wake na ajira kwa vijana.
 Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Shirika Mkoa wa Kigoma na Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa Mhe Kanali Issa Machibya.
 Meneja wa Shirika la Nyumba 
Ndg. Nistas Mvungi akihutubia wananchi wa Kigoma kuhusu mradi wa mashine
 za kufyatulia matofali ya kufungamana 32 zilizotolewa na Shirika kwa 
vikundi vya  vijana wa Mkoa wa Kigoma
 Mkuu wa Wilaya Mkuu wa Wilaya
 ya Kigoma, Ramadhan Maneno akikabidhi mashine za kufungamana kwa 
Kikundi cha Vijana Kwanza Group. Mwenyekiti wa kikundi Ndg Daniel 
George  na Katibu wake wakipokea mashine.
  Picha ya pamoja ya kikundi cha vijana kwanza group na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa. 
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa
 Wilaya ya Kigoma Ramadhani Maneno kwa makini kuhusiana na maelekezo 
yake kuhusu umuhimu wa kutumia matofali ya kufungamana na kuondokana na 
nyumba za matope.
No comments:
Post a Comment