DK.SHEIN AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA WILAYA PEMBA
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba  katika
 ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,kabla ya uteuzi huo alikuwa 
Afisa Mdhamini Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,[Picha na Ramadhan 
Othman,Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkoani  Pemba 
 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jiono,kabla ya uteuzi huo 
alikuwa Afisa Mdhamini  Wizra ya Biashara,Viwanda na Masoko,[Picha na 
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha Jabu Khamis Mbwana kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba  
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi huo alikuwa 
Mkuu wa Wilaya Mkoani Pemba,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha Bibi SSP Sida Mohamed Himid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini
 A Unguja  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ,kabla ya uteuzi 
huo alikuwa Afisa Mdhamini Ofi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba,[Picha na
 Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akimuapisha Mohammed  Faki Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya 
Utumishi wa Umma katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo 
anaendelea na kazi hiyo kwa kipindi chengine cha miaka mitatu,[Picha na 
Ramadhan Othman,Ikulu.] 
 
No comments:
Post a Comment