Wanachama wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa katika msafara wa mapokezi ya Mwenyekiti wa chama hicho,Prof Ibrahim Lipumba
 
Mwenyekiti
 wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba mwenye shati jekundu na 
kofia nyekundu akiwapungia mkono wanachama wa chama cha CUF mara tu 
baada ya kufika katika ofisi za CUF Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma 
 Polisi wakiwa katika ulinzi wa Prof Ibrahim Lipumba
 
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF – Shaweji Mketo akiwahutubia  wakazi
 wa wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,kutokufanya makosa  wakati  
wauchaguzi wa serikali  za mitaa uliotangazwa  kufanyika Disemba 14 
mwaka huu wahakikishe wanakipigia Chama cha Wananchi CUF 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF,Prof Ibrahim Lipumba akiwahutubia maelfu ya wananchi waTunduru waliojitokeza kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja baraza  la Iddi Tunduru mjini.
 
 
No comments:
Post a Comment