ILIVYOKUWA JANA WAKATI WA UPIGAJI KURA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAENDELEA 
 
Wahudumu
 wa Bunge wakibeba masanduku ya kura  ili kuyapeleka kwenye  chaumba cha
 kuhesabia kura  baada ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kumaliza 
kazi ya kupiga kura Septemba 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
 wa Bunge  Maalum la Katiba,  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na  Waziri wa 
Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakiteta 
bungeni Mjini Dodoma Septemba  30, 2014. Kushoto ni Spika wa Bunge, Anne
 Makinda (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment