Mkurugenzi
 wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex 
Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee 
jijini Dar es salaam wakati alipoelezea maandalizi ya tamasha hilo 
linalotarajiwa kufanyika siku ya sikukuu ya Krismas kwenye uwanja wa 
Taifa jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wa injili kutoka 
mataifa mbalimbali na wa hapa nchini wakiongozwa na mwaimbaji wa 
kimataifa kutoka nchini Afrka Kusini Solomon Mahlangu anayetarajiwa 
kuwasili kesho nchini akitokea Afrika Kusini. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment