Na Ali Issa MAELEZO
Rais mstaafu wa awamu ya sita wa 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Adeid Karume amesema 
majumba ya Mpapa yaliyokabidhiwa wananchi 24 kutoka shehia 6 ya jimbo la
 bambi yanahitaji kulindwa na kutuzwa ili yaweze kudumuzaidi uhai wake. 
Hayo ameyasema leo huko bambi wakati alipokua akiyakabidhi njumba hizo 
kwa familia hizo katika sherehe za kuzifungua nyumba hizo kwa wakadhi 
waliopewa katika kuazimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanbar. Amesma azma
 ya awali ya mapinduzi ya Zanzibar ni kumpatia makazi bora mwana nchi wa
 ya Zanzibar ndio Rais wa awamu ya kwaza Abeid Aman Karume ni kuwajengea
 wananchi wake makazi hayo,hivyo azma hiyo ipopalepale na serikali 
haitorudi nyuma. Alisema nyumba hizo ni sehemu Ya nyumba zilizo jengwa 
sehemu mbali mbli za Zanzibar ijapo kluwazilisita kutokana na matukio 
yalio tokea miaka iliopita. Amesema majumba hayo yamemaliza na kuazia 
leo nihuru wananchi kuyatumia kwa kuweka familiazao

No comments:
Post a Comment