Manchester
 United wametoka nyuma kwa mabao 2-o na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 
dhidi ya Hull  City katika dimba la KC, huku shukurani za pekee 
zikimwendea mchezaji wa zamani wa mashetani wekundu,  James Chester 
aliyejifunga bao la tatu na kuizamisha klabu yake ikiwa nyumbani.
Hata 
hivyo James Chester ndiye aliyekuwa wa kwanza kuiandikia kimiani bao la 
kwanza  klabu yake ya Hull dakika ya nne tu ya mchezo huo baada ya kazi 
nzuri ya Alex Bruce.
David
 Meyler katika dakika ya 13 aliandika bao la pili kufuatia makosa ya 
mabeki wa Man United, lakini mashetani wekundu walikuja juu na katika 
dakika ya 25  Chris Smalling alifunga bao zuri kwa njia ya kichwa 
akimalizia kazi nzuri ya Wayne Mark Rooney.
Dakika moja tu baadaye, Rooney alitinga tena nyavuni na kusawazisha bao la pili.
Man 
United walimaliza kazi katika dakika ya 646 baada ya James Chester 
kujifunga mwenyewe akiunganisha mpira wa krosi wa Ashley Young  na kumpa
 ushindi wa bure David Moyes.
 
Muda wa shangwe: Man United wamesogea mbele baada ya ushindi wa leo
Tumemaliza?: Wachezaji wa Man United wakishangilia bao lao la tatu ambalo Hull walijifunga kutokana na krosi ya Ashley Young
 
Mikoni kichwani, umeharibu baba!: James Chester akijifunga bao na kuizamisha Hull leo dhidi ya Man United
 
David Moyes amepumua
Mchezo unaoendelea kwa sasa ni
 baina ya Manchester City dhidi ya Liverpool katika dimba la Etihad, na 
mpaka dakika ya 30, Majogoo wako mbele kwa bao moja lilolofungwa 
na Philippe Coutinho
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA; 
England: Premier League 
 
| 
 
Finished 
 | 
 | 
2-3 | 
 
Manchester United 
 
 | 
(2-2) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
1-1 | 
 
West Bromwich Albion 
 
 | 
(1-1) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
1-2 | 
 
Fulham 
 
 | 
(1-1) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
5-1 | 
 
Stoke 
 
 | 
(1-1) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
1-3 | 
 
Arsenal 
 
 | 
(0-0) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
0-1 | 
 
Sunderland 
 
 | 
(0-1) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
1-0 | 
 
Swansea 
 
 | 
(1-0) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
0-3 | 
 
Southampton 
 
 | 
(0-3) | ||||||
| 
 
Finished 
 | 
 | 
0-1 | 
 
Crystal Palace 
 
 | 
(0-0) | ||||||
| 
 
30′ 
 | 
 | 
0-1 | 
 
Liverpool  
 | 
No comments:
Post a Comment