Kamishna
 wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akisalimiana na 
baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza toka Magereza mbalimbali ya 
Mkoani Manyara mapema leo (jana) Desemba 21, 2013 alipowasili katika 
Ofisi za Magereza Mkoa wa Manyara tayari kwa ziara ya Kikazi ya siku 
mbili.
 Kamishna
 wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(wa pili kushoto) 
akiongea na baadhi ya Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wa Mkoani 
Manyara(hawapo pichani) leo (jana) Desemba 21, 2013. Watatu toka kulia 
ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Magereza, 
Bether Minde.
  
Baadhi
 ya Askari wa Jeshi la Magereza toka Vituo mbalimbali vya Magereza Mkoa 
wa Manyara wakimsikiliza Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, 
Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani) wakati Baraza Maalum la Askari 
lililofanyika katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza, Mkoani Manyara leo
 (jana)  Desemba 21, 2013.
 
Mkuu
 wa Magereza Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Bether 
Minde akiwa ameongozana na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza,
 Dkt. Juma Malewa(kushoto) wakati wa kutembelea baadhi ya maeneo 
mbalimbali ya Gereza la Mahabusu la Babati
(picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:
Post a Comment