| Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka bungeni | 
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri | 
| Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake | 
| Mbunge Filikunjombe kati akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa mkazi wa manda huku mkewe Habiba akishukuru (picha na Blogu ya Francis Godwin) | 
No comments:
Post a Comment