Basi la kampuni ya Allys Sport Bus 
linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha 
njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi
 la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na 
kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya 
barabaraba kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 
40 walijeruhiwa mkoani Morogoro. PICHA MAKTBA/MTANDA BLOG.  WATU
 saba wamekufa papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la 
Allys linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam hadi Mwanza 
kugongana uso kwa uso na daladala katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza.
 
  
No comments:
Post a Comment