Mkazi wa Manispaa ya Morogoro akiwa amejitwisha lundo la kiroba chenye 
chupa tupu za maji kichwani mara baada ya kuzikusanya katika mitaani 
mbalimba wakati akielekea kwa wanunuzi wa bidhaa hiyo eneo la makutano 
ya Old Dar es Salaam na DDC mkoani Morogoro.PHOTO/MTANDA BLOGMfanyakazi
 wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro akiwa amebeba toroli lenye 
uchafu huku akiwa hajavaa soksi ngumu za mikononi mara baada ya 
wafanyakazi wenzake kutoa takangumu katika mitaro inayozunguka stendi 
kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo lengo likiwa kuyawezesha 
maji kupita bila vikwazo mkoani Morogoro.

No comments:
Post a Comment