Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(katikati) alipokuwa
 kaitoa maelekezo kwa Mwalimu wa Somo la Phyisics 
Abrahmani Mussa,alipotembelea darasa hilo baada ya kufungua Skuli hiyo 
ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 50 
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwalimu Mkuu 
Mwanakombo Nassor Ahmed,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Utaani B,Maulid Abdi Aweis,akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) walipotembelea Makataba ya Skuli hiyo leo, baada ya kuifungua
 Skuli ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 
50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  
Baadhi ya Wanafunzi wa wakiwa katika Maktaba ya Skuli ya Sekondari Utaani B,ambapo hufika kujipatia huduma kuangalia vitabu mbali mbali,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 Wanafunzi wa Skuli ya UtaaniA,Wanawake   wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli yao ya Sekondari,Mkoa wa Kaskazini Pemba,iliyofunguliwa
 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
 Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  
Baadhi ya walimu na Viongozi katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakiwa  katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Sekondari
 Utaani A,na Chasasa,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti 
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
  
Wasomaji wa utenzi Asha Ali Omar,na Asha Ali Mbarouk,wakitoa burudani yao wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli
ya Sekondari Utaani A,na Chasasa, Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 
Risala ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Chasasa , Utaani A,Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba ,ikisomwa na Mwalimu Mkuu Msaidizi Zaina Omar Othman,leo baada kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:
Post a Comment