TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, November 3, 2014

BAADA YA KURUSHIWA MANENO KUWA MISS UGANDA ANA SURA MBAYA SASA ATOA YA MOYONI

Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia kuwa yupo tayari kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwezi Desemba mwaka huu.
Kufuatia mrembo huyu kukosolewa sana mtandaoni, watu maarufu pia kama Bobi Wine na Anne Kansiime wamemtetea mrembo huyu na kutaka watu kuacha kumkosoa mrembo huyu bila kufahamu ni kwa namna gani amepambana kushinda nafasi hi

No comments:

Post a Comment