TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, November 5, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAJI HISA JIJINI DAR ES SALAAM.

unnamedMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa TPSF, Dkt. Reginard Mengi, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF. Picha na OMRunnamed1 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF, lililofanyika Novemba 5, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha na OMR unnamed2 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaji Hisa, lililoandaliwa na Taasisi ya Sekta isiyo rasmi ya TPSF, lililofanyika Novemba 5, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha na OMR unnamed3 Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo waliohudhuri ufunguzi huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR unnamed4 Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo waliohudhuri ufunguzi huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR unnamed5 Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo waliohudhuri ufunguzi huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR unnamed7 Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo waliohudhuri ufunguzi huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia. Picha na OMR unnamed8Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunzi huo uliofanyika Novemba 5, 2014, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
unnamed9Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya ufunzi huo uliofanyika Novemba 5, 2014, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
unnamed10 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo mara baada ya ufunguzi. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment