TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, November 5, 2014

RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA

unnamedRais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo. unnamed1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa
Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee
wa mji wa Dodoma  Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo. unnamed2 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma  Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. unnamed3Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete
na wazee wa mji wa Dodoma Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili
kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo. unnamed4Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete
mjini Dodoma  Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo. unnamed5Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete
mjini Dodoma  Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo. unnamed6 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya
kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo. unnamed8 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya
kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya
maendeleo. unnamed10Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani
jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee
wa mji wa Dodoma  Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo. unnamedMakamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa
mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Oktoba 11, 2014  tayari kwa
mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma Oktoba 11, 2014
waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya
maendeleo.

No comments:

Post a Comment