TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, November 3, 2014

Tamasha la Tigo Welcome Pack lapagawisha wakazi wa Mji wa Moshi

unnamedWasanii wa kundi la Original Komedi wakitoa burudani kwenye uwanja wa Ushirika Mjini Moshi wakati wa kampeni ya kifurushi cha Tigo welcome pack, Kifurushi hicho kitamwezesha mtumiaji wa Tigo kupata muda wa maongezi wa dakika 20, mb175,sms bila kikomo na pesa shilingi mia 500 kwenye akaunti yake ya tigopesa, yote hayo kwa shilingi 1000 mteja atakaponunua laini yake ya Tigo. unnamed1Msanii Emmanuel Mgaya Maarufu Masanja Mkandamizaji akiwapa raha wakazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika wakati wa onesho la Tigo welcome pack
unnamed3Sehemu ya umati uliofurika kwenye Tamash la Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika Mjini Moshi.
unnamed5Msanii Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki akipiga shoo kwenye tamasha la Tigo welcome pack uwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
unnamed6Msanii Slivery Mujuni maarufu Mpoki akiwapa burudani wakazi wa Moshi waliofurika kwenye uwanja wa Ushirika hii ni sehemu ya burudani zitolewazo kwenye kampeni ya kifurushi kipya cha Tigo cha welcome pack.

No comments:

Post a Comment