TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, November 3, 2014

MAKAMU WA RAIS AZINDUA UTOAJI WA HUDUMA KWA WALEMAVU WA USIKIVU (VIZIWI) JIJINI DAR.

 unnamedMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMRunnamed2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimshuhudia Mwasisi na Rais wa Taasisi ya Hearing, William Austine akimvisha mashine maalum ya kuwawezesha kusikia, mwanafunzi Amina Athuman wa darasa la tatu katika shule ya msingi Buguruni wakati wa uzinduzi utoaji wa huduma hiyo kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uliofanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR unnamed1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi, Mwasisi na Rais wa Taasisi ya Hearing, William Austine, baada ya uzinduzi wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMRunnamed3Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Nishani, Mwanafunzi wa Darasa la tatu katika Shule ya Msingi Buguruni, mwenye ulemavu wa kusikia (kiziwi) , Amina Athuman, baada ya kuvishwa kifaa maalum kinachomwezesha kusikia, wakati wa uzinduzi rasmi wa utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi). Uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR unnamed4Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha mwanafunzi mlemavu wa kusikia (kiziwi) Bertha Samwel wa darasa la tatu Shule ya msingi Buguruni, Kifaa maalum cha kumwezesha kusikia, wakati wa uzinduzi rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi). Uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR
unnamed6Makamu wa Rais wa Jasmhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mwasisi wa Taasisi ya Starkey Hearing, William Austine, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walemavu wa kusikia, wakiopatia mashine maalum za kuwawezesha kusikia, baada ya kuvishwa mashine hizo wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment