TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Wednesday, November 5, 2014

MAMA AZAA NA KUTUPA MTOTO CHOONI IRINGA

unnamedunnamed1unnamed2

Mama mmoja mjini Iringa aamua kumtupa mtoto wake chooni mara baada ya kumzaa nyumbani.
Mtoto huyo wa kiume aliezaliwa tarehe 4/11/2014 majira ya jioni na mama huyo na kuamua kumdumbukiza chooni ambapo kisa mpaka sasa anamkwepa mumewe aliyepo safarin asijue kuwa amepata mimba na kuzaa.

Hata hivyo chanzo cha habari kinasema kuwa, mama huyo kwa jina la magdalena limano (32) mkazi wa Iringa anatabia ya kumdanganya mumewe na kutoka na mabwana wengine pindi mumewe akiwa safarini kikazi.
Mtoto huyo aliyetupwa chooni majira ya jioni mara baada ya kuzaliwa na kukutwa asubuhi ya tarehe 5/11  akiwa analia ndani ya choo na majirani na kutoa taarifa.
Mpaka sasa mtoto ni mzima wa afya na yupo katika uangalizi mzuri wa hospitali huku mama akishikiliwa na jeshi la polisi akisubiri kupandishwa mahakamani.

No comments:

Post a Comment