TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, November 3, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAJUMBE WA ILIYOKUWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, SERENA JIJINI DAR ES SALAAM.

unnamedMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuzungumza na aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Mwesiga Baregu, walipokutana katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014 baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR unnamed2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waliokuwa wajumbe wa Tume ya Katiba mpya, kutoka (kushoto) ni Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere, Julius Butiku na Prof. Mwesiga Baregu, baada ya kuzindua rasmi utoaji wa huduma kwa walemavu wa kusikia (Viziwi) uzinduzi huo umefanyika leo Novemba 3, 2014 kwenye Viwanja vya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Taasisi ya Starkey Hearing ya nchini Marekani. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment