TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Thursday, November 6, 2014

BALOZI WA RWANDA NCHINI AKUTANA NA KINANA


Balozi wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es salaam.

Balozi wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi za CCM Ofisi Ndogo Lumumba ambapo alikuwa na maongezi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Eugene S. Kayihura .Balozi wa Rwanda nchini Tanzania amekutana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye Ofisi Ndogo za CCM Lumumba akiongozana na Msaidizi wa Balozi Ndugu Ernest Bugingo.

No comments:

Post a Comment