Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha
Waziri wa Ulinzi Dkt Hussein Mwinyi na Waziri wa Ujenzi Dkt JohnPombe Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014
Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwishowakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akifariji familia yamarehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali AidanIsidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,
2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zakeza mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2, 2014
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Mhe
Benjamin William Mkapa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndombe wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam leo Novemba 1, 2014 kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumapili Novemba 2,2014 PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment