TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Tuesday, November 4, 2014

WANACHAMA CHADEMA TUNDUMA NA MBEYA WAAZIMIA KWA PAMOJA KUVAA SARE ZA CHADEMA

Hapa ni mkoani mbeya wilaya ya Momba jimbo la Mbozi mashagharibi mji wa Tunduma  huu upo border ya Zambia na Tanzania.
Wanachadema wa mji huu wameazimia kwa pamoja kuwa kuanzia tarehe 1-11-2014 kila mwanachadema aanze kuvaa skafu, kofia, shati ama nguo yoyote ya chadema kila anapokuwa kwenye majukumu yake, Azimio hilo limeanza kazi leo hii na kama unavyoona kwenye picha hapa ni moja ya sehemu ya mji huo watu wakiendelea na majukumu yao ya kila siku huku wakiwa wamevalia sare za chadema..

No comments:

Post a Comment