TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Monday, November 3, 2014

MAMA KIKWETE NACHINGWEA

unnamed1 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  akimsikiliza  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi , Mzee Ally  Mtopa  wakati alipowasili Wilaya ya Nachingwea jana  kwa ajili ya shughuli mbalimbali  za chama  hicho.  unnamed3Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,akipokelewa jana  na baadhi ya  viongozi wa Wilaya ya Nachingwea, wakiwemo viongozi wa Chama cha Mapinduzi  wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali  za chama hicho.
unnamed5 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ,ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akivishwa skafu na  kijana  wa chipukizi wa Chama cha Mapinduzi  wakati alipowasili katika  wilaya ya Nachingwea  kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho. unnamed6 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia jambo jana na baadhi ya wana Chama cha Mapinduzi  mara baada ya  kupokelewa  katika  Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho. unnamed7Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana  jana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya  kupokelewa  katika  Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
unnamed8Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana  jana na baadhi ya wanachama wa CCM mara baada ya  kupokelewa  katika  Wilaya ya Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.

No comments:

Post a Comment