TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Sunday, November 2, 2014

Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) chafungwa rasmi jana

Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa akiwahutubia wajumbe wa Kikao Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati akifunga kikao hichojana.
Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi akiwahutubia wajumbe wa Kikao Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati wa kufunga kikao hicho jana.
Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi na Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa wakifuatilia mwenendo wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Tanga.
Picha ya pamoja ya Wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichofungwa rasmi jana. kwenye hoteli ya Tanga Beacha Resort, Tanga.
Picha ya pamoja ya Wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichofungwa rasmi jana. kwenye hoteli ya Tanga Beacha Resort, Tanga.
Picha ya pamoja ya Wajumbe wa kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kilichofungwa rasmi jana. kwenye hoteli ya Tanga Beacha Resort, Tanga.
  Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiimba wimbo wa ‘Solidarity Forever’ ikiwa ni ishara ya kuhimiza ushirikiano miongoni mwa wafanyakazi wakati Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi  na Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa walipokuwa wakiingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Tanga, katika ufungaji wa Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo jana..
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiimba wimbo wa ‘Solidarity Forever’ ikiwa ni ishara ya kuhimiza ushirikiano miongoni mwa wafanyakazi wakati Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi  na Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa walipokuwa wakiingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Tanga, katika ufungaji wa Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilojana..
Kaimu Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Chiku Gallawa kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Tanga Beach Resort Tanga, katika UfungajiKikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika hilo jana..

No comments:

Post a Comment