TAN

TAN

Bayport

Bayport

Kikoa

Kikoa

Myway entertainment

Myway entertainment

FORE PLAN CLINIC

FORE PLAN CLINIC

MPINGA CUP 2016

MPINGA CUP 2016

Mashujaa Fm 89.3, Lindi

Friday, November 7, 2014

Mwakilishi Mkazi wa Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu atoa msaada

unnamed Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(kushoto) akimkabidhi  tablet kwa ajili ya mafunzo ya masafa  ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle (kushoto)  wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo  jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.  Kituo hicho kimekabidhi tablet 71 zenye thamani ya Sh. milioni 24  kati hizo 60 zitatumia na wanafunzi wa fani hizo kwenye  vyuo vya Mtwara, Kilosa na Mafinga na nyingine zitatumiwa na wakufunzi. unnamed1Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(kushoto) akimkabidhi boksi  lenye  tablet kwa ajili ya mafunzo ya masafa  ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle (kulia) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo  jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.  Kituo hicho kimekabidhi tablet 71 zenye thamani ya Sh. milioni 24  kati hizo 60 zitatumia na wanafunzi wa fani hizo kwenye  vyuo vya Mtwara, Kilosa na Mafinga na nyingine zitatumiwa na wakufunzi. unnamed2Mkurugenzi  wa  Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle (kushoto) akizungumza  jambo  kuhusu  msaada wa vifaa na vitabu vya miongozo kwa ajili ya mafunzo ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu  viliovyokabidhiwa  kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(kulia)  wakati  wa  hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo  jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo. unnamed3Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(wa pili kutoka kulia)  akizungumza jambo na Mkurugenzi  wa  Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle(wa pili  kutoka kushoto). Kulia ni Dkt. Beatus Leon ambaye ni Mkurugenzi Uimarishaji wa Mifumo ya Afya wa kituo hicho na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo wa wizaya hiyo. unnamed4picha ya pamoja kati Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(wa pili kutoka kushoto)  na Mkurugenzi  wa  Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle(wa nne kutoka kulia) wakiwa na watendaji wengine wa wizara hiyo na kutoka kituo hicho. unnamed5Mkurugenzi  wa  Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle( kushoto) akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore(katikati). Kulia ni Dkt. Beatus Leon ambaye ni Mkurugenzi Uimarishaji wa Mifumo ya Afya wa kituo hicho na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo wa wizaya hiyo. unnamed6Mkurugenzi wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Otilia  Gowelle (kushoto) akipokea  vitabu vya miongozo kwa ajili ya mafunzo ya matabibu wasaidizi kwenda kwenye ngazi ya Tabibu kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa  Kituo cha Kimataifa cha Mafunzo na Elimu( I-TECH  TZ), Dkt Fatma  Kabore wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika leo  jijini Dares Salaam kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.

No comments:

Post a Comment