Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa DADC, Dkt. Stagomena Tax,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa
mazungumzo leo, Dec 2, 2013. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Katibu Mtendaji wa DADC, Dkt. Stagomena Tax,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa
mazungumzo leo, Dec 2, 2013. Kushoto ni Ofisa Mawasiliano, Charles
Mubita. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment