WAFANYAKAZI TBL WASHIRIKI KUPIMA KWA HIARI VIRUSI VYA UKIMWI
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Tereza Mbando (katikati), akiwasha
mshumaa kuzindua zoezi la kupima virusi vya ukimwi kwa hiari kwa
wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam kuadhimisha
siku ya Ukimwi duniani. Kulia ni Meneja Raslimali watu wa kampuni hiyo,
Bw. David Mafuru.
Muuguzi
Mshauri wa kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi, Bi. Aulelia Kunambi,
akimpima Meneja Raslimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw.
David Mafuru (kulia), wakati wa zoezi maalumu la kupima Ukimwi kwa hiari
kwa wafanyakazi wa Kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwasha mishumaa
baada ya kushiriki katika zoezi la kupima ukimwi kwa hiari, wakati
wakiadhimisha siku ya Ukimwi Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwasha
mishumaa baada ya kushiriki katika zoezi la kupima ukimwi kwa hiari,
wakati wakiadhimisha siku ya Ukimwi Duniani.
Wasanii
wa kundi la THT wakitoa burudani kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia
Tanzania TBL, wakati wa zoezi la kupima virusi vya ukimwi kwa
wafanyakazi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment