Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto) akitoa
ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati
wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa
pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani
kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na
TanzaniaOne . wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa
(STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini
ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO_Dar es salaam
No comments:
Post a Comment