Pichani
wadau wa Haki za binadamu wakifuatilia kwa makini taarifa ya
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora( hayupo pichani)
leo jijini Dar es Salaam.
Mwandishi
wa habari wa ITV Ufoo Saro akiuliza swali wakati wa mkutano wa
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na waandishi wa
habari leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – Maelezo
No comments:
Post a Comment