Bondia
Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada
ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi september 27
katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BLOG
Mratibu
wa mpambano wa ngumi Ibrahimu Kamwe katikati akiwangalia mabondia wa
kike Lulu Kayage kushoto na Fatuma Yazidu wanavyo tunishiana misuli
baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao
Lulu Kayage na Fatuma Yazidu wakitambiana baada ya kupima uzito
Bondia Nassibu Ramadhani akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mohamedi Matumla
Mohamed Matumla akipima uzito
Bondia
Nassibu Ramadhani na Mohamed Matumla wakinuliwa mikono juu na Mratibu
wa mpambano huo Ibrahimu Kamwe katikati mpambano utakaofanyika jumamosi
hii katika ukumbi wa Frends Corner Manzese
Bondia
Juma Fundi na Issa Omari wakinuliwa mikono juu na Mratibu wa mpambano
huo Ibrahimu Kamwe katikati mpambano utakaofanyika jumamosi hii katika
ukumbi wa Frends Corner Manzese
Bondia Lulu Kayage akipimwa na Daktali baada ya kupima uzito kushoto ni m,pinzani wake Fatuma Yazidu.
No comments:
Post a Comment