Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Kim Simplis Barrow,
Mke wa Waziri Mkuu wa Belize na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa
anayeshughulikia masuala ya Wanawake na Watoto. Mama Barrow kwa
kushirikiana na Umoja wa Mataifa ndio walioandaa mkutano wa Wake wa
Marais na Wakuu wa Nchi kuzungumzia masuala ya kuwawezesha wanawake na
wasichana kifedha.na
“First Ladies Global Call to Action Conference on Women and Girls’
Financial Health.” Tarehe 25 Septemba,2014.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Joyce Banda, Rais Mstaafu wa Malawi muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi ulizungumzia namna ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York tarehe 25.9.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Sera na Mipango katika Umoja wa Mataifa Bwana John Hendra. Bwana Hendra aliwahi kuwa Mwakilishi wa UNDP nchini Tanzania wakati wa mkutano wa kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha uliofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa huko New York tarehe 25.9.2014. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika Mkutano wa kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha ulioandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa Belize Mama Kim Barrow akishirikiana na Umoja wa Mataifa. Kushoto kwa Mama Salma ni Mke wa Rais wa Suriname Mama Lisbeth Venetiaan na kulia ni Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ndugu Tuvako Manongi.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika Mkutano wa kuwawezesha
wanawake na wasichana kifedha ulioandaliwa na Mke wa Waziri Mkuu wa
Belize Mama Kim Barrow akishirikiana na Umoja wa Mataifa. Kushoto kwa
Mama Salma ni Mke wa Rais wa Suriname Mama Lisbeth Venetiaan na
kulia ni Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Ndugu Tuvako
Manongi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake kwenye mkutano wa
Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Mataifa uliozungumzia
masuala ya kuwawezesha wanawake na wasichana kifedha huko New York
Marekani tarehe 25.9.2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Joyce
Banda (kushoto) na wa kwanza kulia ni Mama Dianne Stewart, Mkurugenzi wa
Idara ya Habari na Uhusiano wa Shirika la United Nations Populations
Fund akifuatiwa na Bi Mpule Kwelagobe, Mwanzilishi na Afisa Mtendaji
Mkuu wa MPULE Institute for Indogenous Development.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi
ya viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu
wa Nchi za Umoja wa Mataifa. Kutoka kushoto ni Mama Kim Barrow, Mke wa
Waziri Mkuu wa Belize, Mama Joyce Banda na wa kwanza kushoto ni Mama
Dianne Stewart.

No comments:
Post a Comment