Mkuu
wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa akisaini kitabu cha
wageni mara baada ya kutembelea banda la Shirika la Bima la Taifa
(NIC) katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani
yaliyofanyika kitaifa jijini Arushaa katika uwanja wa Sheikh Amir Abeid, ,aliyeshika mice ni meneja wa shirika hilo Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin Ole KambaineMeneja
wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)Mkoa wa Arusha na Manyara Bw.Godwin
Ole Kambaine akitoa maelezo mafupi kuhusu shirika hilo kwa Mkuu wa
wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Nyerembe Munasa mara baada ya kutembelea
banda hilo jijini Arusha katikati ni meneja masoko na utafiti wa
shirika hilo kutoka makao makuu Bw.Elisante MalekoMdau
aliyetembelea banda hilo la Shirika la Bima la Taifa (NIC) akiwa
anauliza maswali yanayohusu shirikika hilo lengo nikutaka kufahamu zaidi
shughuli za shirika,kushoto ni Afisa wa Bima Bi.Costancia KomanyaMeneja
masoko na utafiti wa shirika la Bima la Taifa (NIC) kutoka makao makuu
Bw.Elisante Maleko akiwa anatoa ufafanuzi kwa mdau aliyefika katika
banda lao ambapo alisema kuwa pamoja na bima nyingine pia wanatoa huduma
ya bima ya matibabu (madecare) ambao ni mpango maalum wa shirika hilo
kutoa matibabu kwa wananchi wa kada zote
No comments:
Post a Comment