Wadau wa watakiwa kutoa mchango wa kuboresha kanuni za upatikanaji wa mbolea nchini.
Mikoa hiyo ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Ruvuma, Rukwa, Katavi na Kigoma.Mawakala
hao msimu wa mwaka 2014/2015 wamefanikiwa kuuza kwa wakulima mbolea
tani 60,000 na mbegu tani 3000 ambazo zimekuwa na manufaa katika
kuhakikisha upatikanaji wa mazao ya chakula na biashara nchini.
Dkt. Msolla amesema kuwa Shirika hilo lenye makao yake makuu Afrika Kusini linatoa huduma kwa sekta ya mbolea katika nchi mbalimbali Barani Afrika ikiwemo nchi tatu za kipaumbele ambazo ni Tanzania, Msumbiji na Ghana, nchi nyingine ambazo shirika hilo linafanya kazi ni Ethiopia, Senegal, Ivory Coast na Nigeria
No comments:
Post a Comment