Mgeni
Rasmi Mhe. Anthony Mavunde (MB), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,
Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, akisisitiza jambo
wakati alipokuwa akifungua Mafunzo kwa Madaktari kujenga uelewa wa
kufanya tathmini ya Ajali na Magonjwa ayapatayomfanyakazi yanayotokana
na Kazi Jijini Arusha leo Mei 30, 2016
Mwenyekiti wa Bodiya Wadhamini ya WCF, Bw. Emmanuel Humba, akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi
No comments:
Post a Comment