Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akiangalia
baadhi ya picha katika kitabu cha picha za wanyamapori waliopo katika
Pori la Akiba la Selous na mara baada ya kukabidhiwa kitabu hicho na
Mtaalamu Kimataifa, Bw. Robert Ross (kushoto) wakati alipomtembelea leo
ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho cha
picha za wanyamapori waliopo katika pori la Akiba la Selous
kinatarajiwa kuzinduliwa leo jioni katika Hoteli ambapo Kitabu hicho
kitakuwa ni nyenzo muhimu katika kutangaza Utalii wa Tanzania katika
Nyanja za Kimataifa.
No comments:
Post a Comment