Naibu
Waziri, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamad Masauni akijibu
maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni
Dodoma.
Mchezaji
wa kulipwa wa mpira wa kikapu nchini Marekani kutoka Tanzania Hasheem
Thabeet (kushoto) akifurahia jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali
George Masaju (wa pili kutoka kushoto) na baadhi ya Wabunge nje ya
Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment