Timu
32 zinazoshiriki ligi ya Michuano ya Dr MWaka Ndondo Cup za jijini Dar
es SAlaam, jana zimekabidhiwa vifaa katika ukumbi wa Escape uliopo maeneo
ya Mikocheni jijini Dar es Salaam,
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwakilishi wa Clouds Media Group, Shaffi Dauda, alisema kuwa michuano hiyo imefikia hatua ya Makundi baada ya kumalizika mzunguko, jumla ya timu 16 zilifanikiwa kuingia hatua hiyo toka mwaka jana na timu zilizobaki pia ziliweza kuingia hatua hiyo baada ya kupambana kwa udi na Uvumba hadi kufanikiwa kupata nafasi hiyo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya FOREPLAN CLINIC, inayojishugulisha na utoaji wa Huduma za Afya kwa jamii, Ususani Huduma ya Uzazi kwa kina Mama na kina Baba yenye Makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Ilala Bungoni, kutoka kushoto ni Kitengo cha Production Emmanuel Mwansasu, Clinton Sound Engeneer, Admn, Bazizan Tenga, Dereva Hamisi Mwakijo na Eligius Nyoni kitengo cha Production
Baadhi ya Vifaa vilivyokabidhiwa kwa timu hizo.
Mkuu wa Masoko wa FOREPLAN CLINIC,Alex KAneno, wakibadilishana jambo na Msajili wa Taasisi hiyo Bazizan Tenga, wakati wa hayo.
MKurugenziMsaidizi wa FOREPLAN CLINIC Batuli Mwaka akikabidhi Vifaa kwa mmoja wa wawakilishi wa timu hizoWaandaji na Wadhamini wakiwa kwenye picha wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari
MSaidizi wa MAsoko wa FOREPLAN CLINIC, Baraka Samweli (kati) akifafanua jambo wa mkutano wa Waandishi wa Habari
Mkurugenzi Msaidizi wa FOREPLAN CLINIC Batuli MWaka(kushoto), akiwa na MWenyekiti wa DRFA Almas (kati) na Msaidizi wa Masoko wa FOREPLAN CLINIC Baraka Samweli.
Baadhi ya Timu shiriki zikiwa kwenye Eneo la Kugawiwa Vifaa vya Michezo, pamoja na Admn, Bazizan Tenga, wa Dr MWaka.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya FOREPLAN CLINIC, inayojishugulisha na utoaji wa Huduma za Afya kwa jamii, Ususani Huduma ya Uzazi kwa kina Mama na kina Baba yenye Makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Ilala Bungoni, kutoka kushoto ni Kitengo cha Production Emmanuel Mwansasu, Clinton Sound Engeneer, Admn, Bazizan Tenga, Dereva Hamisi Mwakijo na Eligius Nyoni kitengo cha Production.
No comments:
Post a Comment