Ofisa
Madai wa Kampuni ya Bima ya Afya ya AAR, Louisa Mwinchumu (katikati)
akimkabidhi msaada wa chakula, Hidaya Othuman, mmoja wa wazee
wanaohudumiwa na kituo cha wazee cha Yombo Kilakala wakati wafanyakazi
wa Kampuni hiyo walipoenda kutoa msaada kwa wazee hao jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Meneja
Maendeleo ya Biashara wa kampuni ya bima ya afya ya AAR Insurance,
Hamida Rashid (kulia) akikabidhi zawadi ya nguo, Mzee Filipo Mchopa
(katikati) wakati wafanyakazi wa Kampuni hiyo walipoenda kutoa msaada
kwenye kituo cha wazee wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki (kushoto) ni Meneja Operesheni wa AAR, Harold Adamson.
No comments:
Post a Comment