Kaimu
Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (kushoto),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam mchana
huu wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa "
The Ecomist" Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali
ya Tanzania. Kulia ni Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania
(TCI), Daud Biganda.
No comments:
Post a Comment