Naibu Waziri Mpina aliongeza kwa kusema kuwa suala la mazingira si suala la Muungano lakini
serikali hizi mbili zimeona umuhimu wa kushirikiana katika eneo hili ili kuweza kukabiliana
kikamilifu na madhara na hasara zitokanazo na athari za mabadiliko ya tabia nchi ili kunusuru
visiwa hivi kumezwa na bahari.
No comments:
Post a Comment