Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Alex 
Malasusa akiwatakia wauimini wa kanisa hilo sikukuu njema ya Krismass 
bara baada ya ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Azania Front leo.
(PICHA NA DOTTO MWAIBALE)
Askofu
 Mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa akisalimiana na waumini mbalibali wa 
kanisa hilo mara baada ya kumalizika kwa ibada ya Krismass.


No comments:
Post a Comment