Ommy Dimpoz akipagawisha Mashabiki
 Ommy Dimpoz katika jukwaa
  Ommy Dimpoz katika jukwaa sambamba na Shakila
 Diamond akiwa juu ya Mikono ya densa wake
 Diamond katika mfumo wa Sarakasi
 Diamond na wimbo wake nataka kulewa watu Kunywa
 Diamond sasa Kalewa, 
 Mashabiki wake wakisaidia kuingiza Voko
 Mh. Zitto Kabwe, akiwa katika jukwaa baada ya Uvumilivu Kumshinda wakati akiwa katika siti yake, ambapo sasa akisaidiana na Diamond kutoa Mistari.
Baadhi ya Mashabiki wa Diamond wakitaka aendelee na Michano(Picha Zote na (GPL)
No comments:
Post a Comment