RAIS KIKWETE ASHEREHEKEA KRISMASI KWA KUANGALIA MCHEZO WA SOKA KATI YA HOTELI ZA SERENA NA FOUR SEASONS MBUGANI SERENGETI
Mabingwa
 wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi 
baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge 
 katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. 
Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju 
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani 
wao.
(PICHA NA IKULU)
Nahodha
 wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa 
kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada ya timu yake kuilaza 
kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa 
Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha 
timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo 
Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera
 Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo  kuilaza kwa 
mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi 
ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
 ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya  Four
 Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja
 wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi 
inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati 
ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya 
 Serena  kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons safari Lodge  katika
 Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi 
mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya 
penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akikagua  timu ya hoteli ya  Serena  kabla ya 
kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru 
katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu 
hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena 
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiikagua  timu ya hoteli ya  Serena  kabla ya 
kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru 
katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu 
hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena 
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
No comments:
Post a Comment